➣ *TAARIFA*
Kwa mara ya Kwanza Serikali imelipa Mishahara ya Watumishi wa Umma wote kwa siku Moja kwa Mfumo wa GSPP
Kama utakuwa hujapata Mshahara basi uelewe kuwa kuna tatizo kwenye Taarifa zako
TANGAZO:
Mishahara imetoka ni vema kila mtumishi akajiridhisha kama akaunti yake imepokea fedha.ni Muhimu sana.tumia NMB mobile au ucheki ATM.Ndiyo system mpya imeanza ya kuingiza mishahara.ENDAPO MSHAHARA HAUJAINGIZWA KWENYE AKAUNTI YAKO,TOA TAARIFA KWA AFISA UTUMISHI KABLA YA KESHO SAA 4 ASBH.
Upatapo ujumbe huu mjulishe na mwenzako.