moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Wewe ni kati ya majembe yanayokimbiza hapa, salute mkuuNakubali
Harakati
Zenu big up
Can't wait!!!Hahahahahahahhahha leo raha sana. Mama nichome Kiti kabisa na kachumbari??
Ooh hilo tu, ukikanyaga jamvi hili lazima upate kitu likes, hilo hakuna mjadala ingawa sera ni ile ile gonga likes upewe likes vinginevyo uta subiri sana