Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mkuu unamwaga mchele kwenye Kuku wengi unaharibu utaratibu
Ilikuwa general observation tu ya mtandao kwa ujumla - facebook, Instagram, WhatsApp hata humu na kwenye mablog huko n.k. Hujawahi ona video nzuri imewekwa fb halafu watu wanaanza kuweka namba zao za simu wakisema "Oyaa, hebu nirushie video hiyo Whatsapp". Ndicho nilichokuwa nazungumzia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…