The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Tembo hajifichi kwenye shamba la tembele.
Wewe mzee mbona sikuelewi elewiMasaki aisee sijivungi...
Hata nikaishie kutolewa kafara kwa Goddess ISIS sawa tu kwa kweli...
Kwhy lini anakukabidhi mke? Ila andjul akijua walah ataniua hahahah
Kweli kabisa nimefuatilia comments zenu zote safi sanaTuko wachache humu aisee hata mazungumzo yamewezekana...
Kukichemka humu mtu unaweka comment dakika mbili unarudi unakuta kurasa saba tayari zimeshakimbia....
Asanteni nyote kwa upendo huu jamani...
Hahahahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] natamani mzee wa ini aamke ghafla...
PointWanawake wamepewa moyo wa upendo tena wa ajabu sana. Kwa sisi tuliolelewa, kusomeshwa na kukuzwa na single mothers tunaujua upendo wa mama kwa ukaribu wa ajabu. Ndiyo maana sitakaa ninyanyue mkono wangu dhidi ya mwanamke wala kumtesa kwa namna yo yote ile!
Afya kwa watu wote duniani.Afya kwa wote Tanzania
Hahahahaha hawa wanaume wa Dar wamekuwaje kila kitu waoSiyo hawa wa Dar...
Hasa kama anakulia timing akutoe upepo wa kutosha halafu asepe...
Hutagundua kitu!!!
Where did u seen that colour?Another blue Monday
Shimba ni shem Wangu ana sumu kama nyuki wa mashineniMzee wa ini sio bubu tena[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] watararuana huko
HahahahahaCole utazeeka kwa kukasirika ujue[emoji23][emoji23][emoji23]cheka kidogo basi