Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wanawake wamepewa moyo wa upendo tena wa ajabu sana. Kwa sisi tuliolelewa, kusomeshwa na kukuzwa na single mothers tunaujua upendo wa mama kwa ukaribu wa ajabu. Ndiyo maana sitakaa ninyanyue mkono wangu dhidi ya mwanamke wala kumtesa kwa namna yo yote ile!
Ubarikiwe siku zote za maisha yako si kwa busara hizi
 
[emoji23][emoji23][emoji23]naninavyotaka maparachichi ya uyole [emoji23][emoji23][emoji23]acha tu...hebu nipe ka namba hako nije ubungo au waja na lindege[emoji23][emoji23][emoji23]
Weee lindege la nini? Nimekuwa shimba ya buyenze(naona anajiombelesha kwa ISIS akaguse walau sakafu yake),naja kwa barabara, naishia Kibamba
 
Wanawake wamepewa moyo wa upendo tena wa ajabu sana. Kwa sisi tuliolelewa, kusomeshwa na kukuzwa na single mothers tunaujua upendo wa mama kwa ukaribu wa ajabu. Ndiyo maana sitakaa ninyanyue mkono wangu dhidi ya mwanamke wala kumtesa kwa namna yo yote ile!
[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] true ni binadamu wa kipekee sana Dear Mama na mimi hii ni password yangu kwenye vitu vingi sana
 
[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Umesema kwa mfano[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom