Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23]naninavyotaka maparachichi ya uyole [emoji23][emoji23][emoji23]acha tu...hebu nipe ka namba hako nije ubungo au waja na lindege[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
 
Kuijua thamani ya mwanamke wala haihitaji mtu awe na akili sana.Mfano wa kawaida tu,mama apike chakula kidogo na ghafla wageni wanafika,basi,atawalisha woote halafu yeye anajikosesha chakula.
Wanawake wamepewa moyo wa upendo tena wa ajabu sana. Kwa sisi tuliolelewa, kusomeshwa na kukuzwa na single mothers tunaujua upendo wa mama kwa ukaribu wa ajabu. Ndiyo maana sitakaa ninyanyue mkono wangu dhidi ya mwanamke wala kumtesa kwa namna yo yote ile!
 
[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Huyu kazeeka usiwe na wasiwasi nae[emoji23][emoji23]
 
Me sina ofisi ujue[emoji23][emoji23][emoji23]nipe ya tecno hiyo[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Back
Top Bottom