Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Herrera out
Naomba namba basi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Weee... Mmesha nitisha,acha niendelee na msukuma wangu tulee watoto[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaani, imebd nije huku niwacheck...Umepaa
Hahahaha
Ooooh tayari, ashindwi mutu hapaOle wenu siku yakiwashinda huko muje na mikopo iliyo toboka na kupasuka hapa[emoji174] [emoji174] [emoji180]
Hakika mkuuPossible mkuu tena kumuamin
Mhuni ni mistake kubwa sana mhuni ni mhuni Tu.
Maisha ni kuvumiliana kwenye dhida na raha sasa iweje yeye alale na wewe ukeshe??[emoji23][emoji23]muamshe tu...we huoni me ma cole tupo sambamba hapa[emoji23][emoji23]Hahahahah, kalala deeply.......namuonea huruma kumuamsha...
Kuwajua sasa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Japo mzee mwezangu
Good people are still out there
Some where na hapa pia. Wapo
Labda ujishindwe mwenyeweCole akinishinda nahamia kwako mbona rahisi tu[emoji23][emoji23][emoji23]nikishindwa kwako naja na uzi hapa na screenshots kama evidence[emoji23][emoji23][emoji23]
Karibu sanaHahaha, hilo tabasamu...mmmhh! Nilikuja nione kunakuwaje ikiwa mapemamapema...
We Mzee najua ulivyoCole akinishinda nahamia kwako mbona rahisi tu[emoji23][emoji23][emoji23]nikishindwa kwako naja na uzi hapa na screenshots kama evidence[emoji23][emoji23][emoji23]
Nasubiri namba ujue[emoji23][emoji23][emoji23]Kuwajua sasa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ta Ta Ta Tayari... [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Dah......maneno kuntu hayo...LOL!![emoji16][emoji23][emoji3]
Aaah mpare wangu hana madhara Cole.....dish liko mahali yake kbssaa[emoji6] [emoji6]Lakini bro mi najua
Unaweza ukatambua kama
Huyu mtu dishi lake haliko vizuri
Na ukaepuka madhara
Kuna mtu anapenda stress basi?maisha yenyewe mafupi hayaLabda ujishindwe mwenyewe
Mimi sipendi Stress kabisa.
Ila nikikaribishwa Masaki ufukweni hata kesho asubuhi nakuja aisee...Hahahaha