Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"


Halafu watu humu wepesi sana kutoa namba zao za simu sijui kwa nini. Hata hao watu wa cyber law nadhani huwa wanajifanya mabinti tu na kujilengesha, unatoa namba basi wanakudaka. Hakuna nidhamu kabisa!​
Kwenye kutoa namba hapo dooh!zamani ilikua sitoi namba hovyo hovyo japo hadi sasa ila nature ya kazi unakuta namba zinabandikwa sehemu incase of emergency utafutwe jambo lililonilazimu kutafuta namba nyingine kwaajili ya shughuli zangu binafsi...sitoi namba hadi nijue umuhimu wake[emoji23][emoji23]sasa humu hatujuani naanza tu kutoa namba daah
 
[emoji23][emoji23]acha nianze kum'mendea andjul....andjul jiandae[emoji23][emoji23][emoji23]
Tayari tili tili tili tili tili tili tili [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] ngoja niende zangu kumtafuta mjomba
 
Yap...
Tena rahisi sana...
Usitishwe na big names za humu...
Ukigangamara na kugangamariwa unapata na kupatikana kama hauko makini...​
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ahsante mkuu,umeniongezea jambo muhimu sana.Mimi nilijua ni familia moja hapa,kumbe unaweza ukaangushwa kwa dakika moja japo umehangaika kusimama kwa zaidi ya miaka kumi
Ni lazima kutofautisha maisha ya ya mtandaoni na maisha halisi - hasa kama una malengo. Na maisha haya yakiingiliana basi yaingiliane kwa uangalifu na katika ukweli. Mtandaoni huku pia kuna waliopata wenzi bora kabisa pamoja na fursa nzuri za kibiashara zilizowatoa kimaisha. Yote kwa yote ni kuwa mwangalifu na kutoamini watu mapema bila tahadhari - hasa wakati huu ambapo upendo miongoni mwa watu umepoa sana!​
 
Tili tili tili tili tili tili tili [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
4cfc5737195943540f82053bd570633b.jpg
 
Back
Top Bottom