Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mbali na umri busara nazo ni muhimu...hakuna kitu kizuri kama kujua unaongea nini,wapi na unaongea na nani
Mambo ya mtandaoni haya ni hatari sana.
Mimi nilipatwa na mkasa wa kushangaza mwaka 2009 na kuanzia wakati huo sitakaa nionane na mtu ambaye eti nimekutana naye mtandaoni. Tutataniana humu tu na kila kitu kitabaki humu humu. Hata kama mtu anataka msaada wangu kama nitaamua kumsaidia siyo lazima tuonane. Simwamini tu aisee....​
 
Hii dunia ya sasa waaminifu wamebaki wachache mnoo...ni vizuri kujua unaemsaidia au kuwasiliana nae nje ya mitandao si kila mtu ni mtu mzuri au anahitaji msaada wengine ni wanafki na wambea
 
Mambo ya mtandaoni haya ni hatari sana.
Mimi nilipatwa na mkasa wa kushangaza mwaka 2009 na kuanzia wakati huo sitakaa nionane na mtu ambaye eti nimekutana naye mtandaoni. Tutataniana humu tu na kila kitu kitabaki humu humu. Hata kama mtu anataka msaada wangu kama nitaamua kumsaidia siyo lazima tuonane. Simwamini tu aisee....​
Ahsante mkuu,umeniongezea jambo muhimu sana.Mimi nilijua ni familia moja hapa,kumbe unaweza ukaangushwa kwa dakika moja japo umehangaika kusimama kwa zaidi ya miaka kumi
 
Mambo ya mtandaoni haya ni hatari sana.
Mimi nilipatwa na mkasa wa kushangaza mwaka 2009 na kuanzia wakati huo sitakaa nionane na mtu ambaye eti nimekutana naye mtandaoni. Tutataniana humu tu na kila kitu kitabaki humu humu. Hata kama mtu anataka msaada wangu kama nitaamua kumsaidia siyo lazima tuonane. Simwamini tu aisee....​
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Back
Top Bottom