Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mambo ya mtandaoni haya ni hatari sana.
Mimi nilipatwa na mkasa wa kushangaza mwaka 2009 na kuanzia wakati huo sitakaa nionane na mtu ambaye eti nimekutana naye mtandaoni. Tutataniana humu tu na kila kitu kitabaki humu humu. Hata kama mtu anataka msaada wangu kama nitaamua kumsaidia siyo lazima tuonane. Simwamini tu aisee....​
Hahahaha
 
Yap...
Tena rahisi sana...
Usitishwe na big names za humu...
Ukigangamara na kugangamariwa unapata na kupatikana kama hauko makini...​
Tili tili tili tili tili tili tili [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Screenshot_2017-07-24-01-09-45.png
 
SASA mbona mimi siogopi na nina kaa mwenyewe nyumba nzima ufukweni!
Lakini ni apartment!
Zamani nilikuwa naogopa
Lakini my character I always find a way to conquer fear
Hizo za ISIS akifakamia damu huwa sizipendi kwa kweli...
Ila ukizingatia mtu nimekulia Koromije wakati mwingine unaachwa pekee nyumbani...
Ni kawaida tu...​
 
We Mzee ww haya
Tutajie Nani [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kamwe sipo tayari kumuumiza mwanamke(symbol ya upendo),mwanamke ndio asili yangu mimi
 
Back
Top Bottom