Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wanawake wamepewa moyo wa upendo tena wa ajabu sana. Kwa sisi tuliolelewa, kusomeshwa na kukuzwa na single mothers tunaujua upendo wa mama kwa ukaribu wa ajabu. Ndiyo maana sitakaa ninyanyue mkono wangu dhidi ya mwanamke wala kumtesa kwa namna yo yote ile!
Mungu awape uhai na afya njema mama zetu
 
Back
Top Bottom