Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Rutashubanyuma tafadhari tunakuomba Manchester united kule plzzzzzzzzzzzzz

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Mkuu Ruta kakwama kwenye uzi wa likes anagonga SPOILER pole pole tu. Naona tangu jana anatafutwa kurudi kwenye huo uzi. Hamuwezi kuuendesha bila yeye?
 
Inawezekana ila Jamaa ni Kama mourinho ana mchango mkubwa Sana. Sijawahi kuacha kusoma comment yake hata Moja.

sent from my Samsung S9 plus using jamiiforums mobile application.
 
Back
Top Bottom