Ndo maana inaganda!Damu nzito kuliko maji
Uzi mtamu huuMi mzima tupo na uzi wetu wa jaza ujazwe
Hahahahahaha kuzuia mafuriko kwa vidoleItakuwa kuzuia mafuriko kwa mikono
Na wewe ulivyo mzuri huwezi baki salamaKujazwa hakujawahi kumuacha mtu salama
Nambieukhuty
Si umenionjesha jamani.Umejuaje
Naaam aswaHekima ndani yake
Kinyozi mungu anamuonaAmepaka mkaa kichwan au??[emoji15] [emoji15]
HahahahaKama huyu ndo juma kadara mwenyewe[emoji3][emoji3] acha tu adanganywe hakuna namna
Ndio uzuriWacha tujazane bwana
Usikie mlio wakeGongagonga