No...just kurekebishana tu.Unaniponda eeenhee
No...just kurekebishana tu.Unaniponda eeenhee
Mchawi hajaribiwi bro[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Yani ukishampa yule mtoto,atajua ushamstukia kwa hiyo hatakuloga tena
SorryNaona unanianza kimya kimya
Leo nimevurugwa ujue shauri yako endelea tu
Kurekebishana huko vepee Dada yangu yaani badala ya kuniambia mimi mhusika wa jambo, unaenda kumwambia mwingineNo...just kurekebishana tu.
Haiwezekani bhana, jamiiforums inahudumia dunia nzima, wakati wewe upo kazini wenzako huko waliko ni usiku wanapata burudaniJf iwe inafungwa SAA za kazi jamani
[emoji1] [emoji3] [emoji3] [emoji3]MMU imejaa wanawake viruka njia
Shark week inaanza wiki ijayo kwenye Discovery Channel mkuu...Shark tale