carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
187k....
Tuna mafilosofa humu yaani hata Plato cha mtoto.Kupanga malengo mengi bila kuyafanyia kazi ni sawa na kuchomeka chaja ya simu kwenye plagi bila kuwasha,hakuna kitakachotokea
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwema kabisaTupo shem. Kwema huko Upareni?
Dooh!pole sana uniq nani tena anamendea mali zako?Nisingechunga leo ningesha nyang'anywa na midume isiojua mapenzi
Vita ya likes haijawahi kumuacha mtu salama. Yaani jamaa wanabembeleza kweli kweli Rutta kimyaaaa anakula likes tu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahaha amesema hamna shukurani wacha abaki huku
Nimekuja na nakutana na hu ujumbe[emoji22][emoji22][emoji22]Carba njoooo
Weekend kwangu nakuwa na mambo mengi .. Siunajua familia