Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kupanga malengo mengi bila kuyafanyia kazi ni sawa na kuchomeka chaja ya simu kwenye plagi bila kuwasha,hakuna kitakachotokea

Sent using Jamii Forums mobile app
Tuna mafilosofa humu yaani hata Plato cha mtoto.

Ni kweli mkuu na hili ni tatizo la wengi. Mipango kibao utekelezaji ziro miaka nenda miaka rudi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…