Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
R18
HahahahahaItabidi waungane wote kwenye thread akirudi huko wawe wanampa likes hata mia kila comment. Naamini atarudi lakini hii kibembeleza kwa maneno matupu sidhani kama itasaidia cho chote. Mkono mtupu haulambwi ati!
Wazungu bhana