Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hapa mbwembwe zimezidi sasa...
Hapa mbwembwe zimezidi sasa...
YeuwiiStrong people dont put other people down.They raise them up and slam them down for maximum impact [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HahahahaHapa mbwembwe zimezidi sasa...
SHIMBA mbona kigeu geu, kama hamtaki basi nitamnyakua bure bureUwongo! Dada siyo bidhaa kwamba inabadilishwa badilishwa tu. Mume tunayemtambua sisi wanaukoo ni Andjul. Pambana naye lakini mimi sihusiki aisee..
Hivi hawawezi hata kufuatilia historia ili wajue kama wewe ni mke wa mtu? Endelea kuwa komesha kwa majibu makavu hivyo hivyoHumu kuna mme wangu hataki,na akijua unataka kuniona ww ujue unajipalia makuu.
Mbona mnanibambikia kashfa nzito, mi najengaGeJo naona kaja anataka kuvunja ukuta
Malizana na Andjul mkuu. Mimi sihusiki. Mimi ninachotaka ni ng'ombe ali mradi kama dada karidhia. Sasa anayetambulika ni Andjul. Kukiwa na mabadiliko nitonye!
[emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] hahaha SHIMBA unaniharibia. we nsamaka ukipata chance uje nikueleze neno achana na kakayakoMwongo huyo bageshi. Wewe bakia na Andjul wako muendeleze familia yenu iliyojaa upendo na mibaraka tele.