Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Huyu mama naye huyu...mh!MADAME FLORA AKUMBWA NA AIBU:Alitaka kuweka comment kupitia account ya mume wake bahati mbaya akatumia account yake kujicomentia [HASHTAG]#aibu[/HASHTAG] View attachment 549512
Umepoteza muelekeo kivipi? hebu funguka ili ueleweke.
Kitu unai-set inakuwa inaji-post yenyewe tu. Safi sana!Mkuu hizi ni code za nini?????!!!!
Wapi huko kwenye hofu kila kona mkuu?Nchi yetu haitamaniki tena hofu kila kona ya nchi. Watu utadhani wako kwenye msiba wa mtu muhimu sana. Na ni kweli ni msiba wa mtu muhimu sana jina lake ni katiba na sheria za nchi.
Usafi wake ni nini sasa?!Kitu unai-set inakuwa inaji-post yenyewe tu. Safi sana!
Wanataka sifa ya kuwa wa kwanza kutoa breaking newsSijui watu wanapata faida gani kuzusha mambo ambayo hayapo,Mungu amfanyie wepesi apone
Maadui wa nchi yangu Tanzania wamekufa wote milele yote wao pamoja na vizazi vyao
Hivi ndo kusema umegoma kunipa ama?
Kutopoteza muda...Usafi wake ni nini sasa?!
Huwa hatutoki, tutoke twende wapi na hapa ndiyo kila kitu!!!?Hivi
Rutashubanyuma
Shimba ya buyenze na
Moudgulf
Wanatoka humu ndani kweli,mana kila nikienda na kurudi nawakuta
Sent using Jamii Forums mobile app