Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

JUKWAA LA MAZINGIRA LEO:
Takribani ekari 3000 za misitu zinateketea au kuharibiwa kila siku nchini. Hii ni hali ya kutisha inayoongoza kwenye athari nyingi ikiwemo tishio la maeneo mengi kugeuka kuwa jangwa, kukauka kwa vyanzo vya maji na kupotea kwa makazi ya wanyama.

Wote tunapaswa kushirikiana na mamlaka zilizopo kuzuia ukataji ovyo wa miti, uchomaji wa moto misitu na uharibifu wa aina yoyote.
 
IMG-20150531-WA0022.jpg
 
Back
Top Bottom