Nipo kibiti
Dah huu mtego sasa
We hunitakii mema aisee
Hahahhaah
Wee jamaa utanikosesha jikoTupo sis. Kazi naona zimekuzidia bado na unakuja kwa kushtukiza shtukiza. Nipo hapa napambana na mashemeji hasa wakianza kugombana.
Jamaa chagua maneno ya kuweka hapaHuu usenge wa hizi alama zinakera <br />.