Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

We Mzee ww
Eti ujui unaumwa nn
Pole hivo hivo na unknown
Ugonjwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ahsante mkuu,uwepo wenu karibu yangu hakika nitapona.Nimegoma kwenda hospital, muda wa kuhojiana na doctor mungeniacha pages nyingi sana...so, nimeamua kukomaa,hata ugonjwa umeungana na mimi kwenye like[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] Matatizo ya kusoma PCM hayo...muda wa nyimbo za mapenzi ulikuwa busy na mifomyula...ona sasa mifomyula imekuacha una hangaika na ngonjera za mapenzi ukubwani....Pole lakini...utafanyaje sasa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
We Mzee ww
Shame on you
Basi ngoja nikamtafute zangu
Mjomba [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Back
Top Bottom