Asante sanaGet well
Soon My love
Hahahahah
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ahsante mkuu,uwepo wenu karibu yangu hakika nitapona.Nimegoma kwenda hospital, muda wa kuhojiana na doctor mungeniacha pages nyingi sana...so, nimeamua kukomaa,hata ugonjwa umeungana na mimi kwenye like[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]We Mzee ww
Eti ujui unaumwa nn
Pole hivo hivo na unknown
Ugonjwa
We Mzee ww[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] Matatizo ya kusoma PCM hayo...muda wa nyimbo za mapenzi ulikuwa busy na mifomyula...ona sasa mifomyula imekuacha una hangaika na ngonjera za mapenzi ukubwani....Pole lakini...utafanyaje sasa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
babe S nipo karibu hapa mama[emoji55] [emoji55] [emoji55] nisije sutwa mie....teh teh...mdomo unawasha......
Na mtu huonekana kichaa kwa mda[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kichwa cha chini kikifanya kazi cha juu hupoteza uwezo wake!!
Carba hapo una haribu...huyo ni mama,hatajwi hovyo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hata wewe?nsamaka kakushinda eeh[emoji23][emoji23]
Mr EboSifa
Za kijinga
Eeeee[emoji101] [emoji101] [emoji101] [emoji101] unaumwaaa[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85][emoji23][emoji23]pole kwa kuumwa njoo tuuguzane mna mwenyewe naumwa[emoji23][emoji23]ila mimi najua ninachoumwa
Furaha yangu haina kikomoNimefurahi sana