Mkuu mbona ngonjera hizi kama nyuma ya pazia hali ni mbaya[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]KAMA KUKUPENDA
NI KASORO BASI
SITAKI KUKAMILIKA TENA
Kwa kuibiaibia hakuna jinsi
Hahaha nasomea magonjwa ya kina mama na tezi dume mtakuja tu wotePamoja na utamu wa uzi huu tumuonye mwanafunzi anayepapia mapenzi wakati hajamaliza mitihani yake ya A level. Nawe babe S mpe nafasi uniq asome, kama kuna tatizo nitafute ili nilitatue
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana mkuu kwa kinywaji natumia juice nikiwa nasubiri chai ichemke.Karibu sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Aiseee!!!! Huyu mzee mwisho wake sio mzuri.Ugomvi wa ndoa ndio furaha yake!!!
Usiwe hofu, mtoto yake nepiuniq ana maneno ya dharau sana.Acha akacheze na wenzie huko[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Lazima wawe na akili sana goddess wote ni taifa laoAsante sana
Kweli kabisa
AMUN RA
HahahahahaKichwaaaaaaaaa kichafuuuuuuu
Kumbe mjanja wako ni Carba[emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19]namsubiria nsamaka atoke kazini