Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Huyo huwa halali
Huyo huwa halali
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa kweli kuna hajaKakataaa sasa itabidi kamati ikae kujua tatizo[emoji23][emoji23][emoji23]
SHIMBA YA BUYENZEHapana mkuu. Wewe andika tu. Hata ukiamua kuhamishia jukwaa zima la siasa huku ni sawa. Na kuachana na kitu na kukaa kimya juu ya kitu hicho ni vitu viwili tofauti - hasa kitu ulichoachana nacho kinapoletwa sehemu ambayo hukukitegemea au hakipaswi kuwa. Ukileta mambo ya dikteta uchwara huku, mara mgonjwa wa akili, mara hivi, usishangae kujibiwa hata kama wanaokujibu hawajali na hawana passion na uanaharakati uliotukuka kama wako. Ndiyo maana mambo haya ingefaa tu yaachwe huko huko Jukwaa la Siasa ili mtu akiyataka basi ayafuate huko akaoge matusi na kupambana katika vita visivyo na mshindi vya mafisi vs. manyumbu....![]()
GeJo nakuona ujue[emoji2][emoji2]Ooh hope amekusikia
Mkuu umebadili username?Mapopo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Degree ya kujifariji uliipata chuo gani vileee[emoji23][emoji23][emoji23]au nimuite moudgulf aje hapa?
[emoji2][emoji2]kwani mimi nimemaanisha nini?Loh!!!! Ila sikumaanisha hivyo
GeJOOoh hope amekusikia