Siri nje njeNi hatari kwakweli,huu utandawazi unatuweka wazi haswaa
Du MarsNyi mnataka kumuharbia maisha babe S, mi nataka nimpeleke mars tukafanye utalii, nyi mnamdanganya danganya bure
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona kaamua kuingiza kichwa chake mdomoni mwa mamba ili amchungulie koromeo lake.Kitakacho mpata nadhani atakosa hata nafasi ya kusimulia jinsi ilivyo kuwa....Umemuona andjul leo...!?
HahahahahaISIS ##MWAMBIE MZEE WA LIVER##AMLETE ho chi minh akiwa na vidole vyote.
Hahahahahaho chi minh amepotea baada ya kuhoji vitu vizito
Nani kanisikia TenaOoh hope amekusikia
Likes ni chakula toshaNa like mpaka
Najiuliza nimekula kweli
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji121] [emoji113] [emoji113] hivi we Dada tunatoka wilaya moja au macho yananidanganya[emoji1] [emoji1] [emoji1] maana sauti yako ni kama naijua hiviSalama kabisa karibu like ya baridi imetoka kwa friji sasa hivi[emoji6]
Yap
Moyo wangu uko kwa Cole
Ujinga tu ule suji ndo kikiNimeiona video daah angeacha tu kuisambaza