Ulisema tusiwe tunaNawaona au unataka nianze timbwili la asha ngedere?[emoji35][emoji35][emoji35]
Mkuu tulia, masuala ya nsamaka achana naye bhana. Hapo maelewano yatakuwa madogoWewe bado mdogo sana,hauna uwezo wa kuniingiza chaka.Nilipo simama sibanduki[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahha dah kichwa kichafu unapotezea isije kuwa umemtoa kafara maana mliondoka Siku mojaho chi minh mchina, popote ulipo sema mafunzo yako ya kichina yamekwisha kisa uzee mzee mwenzangu ila huyu mzee wa liver angekukuta enzi zako asiweza kukukamata
Isis kwema madamGrimm
Siwezi ku change state kirahisi hivyo...japo naweza nikibembelezwaKweli we Mzee
Msolid unaanza kuingia mkenge
Kichwa kichafu embu
Haswaa sema hawa watani zangu nilikuwa nawasalimia tu nipo hapa mamaAmebadilika sikuhizi keshajifunza
Tupo pamoja ni kulike kama njugu mkuuAvatar tu mkuu ndio nimeweza kufaham kiongozi
[emoji22][emoji22][emoji22]Ulisema tusiwe tuna
Nuna love usinune bhana