Sema maisha yanaendelea,tena kwa kasi ya bughatiNakuelewa sana mkuu wangu
Mkuu mapenzi yanaumiza sana asikwambie mtuSema maisha yanaendelea,tena kwa kasi ya bughati
Kinachoumiza zaidi ni zile moments,mazingira mliyokua mnapita,love,purukushani za hapa na pale halafu kitu kidogo kinawatengaMkuu mapenzi yanaumiza sana asikwambie mtu
Kina watu hawa value nafsi za wengineKinachoumiza zaidi ni zile moments,mazingira mliyokua mnapita,love,purukushani za hapa na pale halafu kitu kidogo kinawatenga
Acha 2Kina watu hawa value nafsi za wengine
Utasahau tuHiki kidonda tiba yake si ya kitoto ujue