Strategizt
Senior Member
- Oct 16, 2009
- 179
- 34
Kweli kabisa
Mimi mwenyewe yalinifanya kitu mbaya
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Kweli kabisa
Mimi mwenyewe yalinifanya kitu mbaya
Hatari hii kitu[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Tupo kwa nguvu ya likes
Kuolewa na umpendaye ni raha sana,maisha si pesa bhana...asante kwa ujumbe[emoji4][emoji4]Kibaya zaidi huenda kupata taabu na kumkumbuka aliyempenda kwa dhati. Wakiolewa na mwenye pesa wanaenda kuwa watumwa. Ni bora waolewe na ampendaye ili mume awe mtumwa kwake
Numbisa
carbamazepine
Pole sanaYah
Nilitoka na binti mbali sana,lengo ni kuoana but mipango haikwenda sawa akakata tamaa na mimi,wenye mkwanja wakabeba,that moment ctaisahau
Wanawake wanaojielewa kama wewe ni adimuKuolewa na umpendaye ni raha sana,maisha si pesa bhana...asante kwa ujumbe[emoji4][emoji4]
[emoji4][emoji4]watakuwepo na wengine shemeji...umemuona Cole lakini?Wanawake wanaojielewa kama wewe ni adimu