Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
A851
Yap, atapata mshale mwingine mtamuuUtapata wa kufanana na wewe kama bado hujapata na utasahau
Hakuna apendae maisha ya dhiki na wengi wetu sisi wanawake tunapenda vitonga,kutamani maisha ya starehe na vitu vingine mwisho wa siku ndo hivyo unamuacha mliependana unaenda kufata pesa at the end unaanza kujuta...Lakini inaonyesha ndoa nyingi watu wanakua wanatimiza wajibu tu baada ya kuwapoteza wenza wao wawapendao kutokana na sababu za kimaisha
Ukinielewa nakupandaje shemu langu. Lugha ya kikubwa haimwachagi mtu salama[emoji23][emoji23][emoji23]nimekuelewa shemeji
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukinielewa nakupandaje shemu langu. Lugha ya kikubwa haimwachagi mtu salama
Mzima weweAbeeee