Una meno mazuri shemuuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu inakua too lateHakuna apendae maisha ya dhiki na wengi wetu sisi wanawake tunapenda vitonga,kutamani maisha ya starehe na vitu vingine mwisho wa siku ndo hivyo unamuacha mliependana unaenda kufata pesa at the end unaanza kujuta...
Ndo zinakuja zile kauli za ningejuaHalafu inakua too late
Leo yupo busy busy naona.... atakujaSHIMBA YA BUYENZE yuko wapi wii?
Mkuu nani tena kwenye drugsDrugs hazijawahi kumuacha mtumiaji salama kama walio karibu naye wasipotafuta suluhisho haraka iwezekanavyo.
Halafu ukichek jamaa uliyemuacha life lake limebadilika,haya maisha km tungekua tunajua kesho ipoje,tusingefanya makosaNdo zinakuja zile kauli za ningejua
No commentsInategemea Mkuu, Utafiti wa TWAWEZA unaweza kabisa kupingwa kwa hoja tu. Wale wa Twaweza tafiti zao ni za kuganga njaa tu lakini hazina ukweli wowote.