Na muda ukifika hata dunia nayo itakwenda tu. Hata Yesu Asiporudi mapema wanasayansi wanasema kuwa baada ya miaka bilioni tatu jua litaishiwa na nishati (Hydrogen na Helium); na litaanza kupanuka. Baadhi ya makalikyulesheni yao yanaonyesha kwamba sayari za Mercury, Venus, Dunia na Mars zitavutwa na mjua huu na kukaangwa mithili ya kumbi kumbi aliyetumbukia motoni. It is only a matter of time bro...one second at a time!Kizazi huenda, Kizazi huja nayo Dunia hudumu daima
Bro hayo juu hapoNa muda ukifika hata dunia nayo itakwenda tu. Hata Yesu Asiporudi mapema wanasayansi wanasema kuwa baada ya miaka bilioni tatu jua litaishiwa na nishati (Hydrogen na Helium); na litaanza kupanuka. Baadhi ya makalikyulesheni yao yanaonyesha kwamba sayari za Mercury, Venus, Dunia na Mars zitavutwa na mjua huu na kukaangwa mithili ya kumbi kumbi aliyetumbukia motoni. It is only a matter of time bro...one second at a time!
Najua bro. Mhubiri ni kitabu kikali ambacho wakati mwingine huniogofya...Bro hayo juu hapo
Maneno ya mhubiri 1:4
Hebu shusha na mitaa ya Koromije bro.Morogoro
Msamvu
Kihonda
Nane Nane
Mjini
Mazimbu
Sua
Mzumbe
Mindu
Sanga Sanga
Mahakamani
Mtoni
Nashera
Rock garden
Kigurunyembe
Dragonaire
Bob12
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aisee ni hatarNajua bro. Mhubiri ni kitabu kikali ambacho wakati mwingine huniogofya...
Katika time frame ya binadamu ni kweli inaonekana kama dunia inadumu daima. Miaka bilioni moja kwa binadamu ni mingi mno lakini but in cosmological/astronomical scale inaweza kuwa ni katone tu. Ndiyo maana hata hatuwezi kujua ni lini hasa muda ulianza hasa ukizingatia kwamba wanasayansi sasa wanadhani kwamba hata hii Big Bang iliyozaa hii universe tuliyonayo inawezekana ikawa siyo ya kwanza na eti it is likely we have been Big Banging and re Banging for a very very long time...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kichwa kichafu hawezi hayo