Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwema kabisa Mkuu. We missed you too SYB. Bora ulijiteka kuliko kutekwa na wake waliomteka Roma Mkatoliki. Just a joke Mkuu.
Roma angalau alipatikana. Kuna yule kijana mwingine mpaka leo kimyaaa [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

Ni siku mpya imeanza. Ni nafasi nyingine ya kuanza upya kwa vile tungali tunapumua. Mungu na Atuongoze!
 
Akuu kama unataka like njoo kapuku bana huku like zao hazifiki tano..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom