Kweli kabisa asubuhi watu wote walikuwepo humu ndaniAsubuhi speed ilikua kubwa sana...kesho mwendo ukiwa hivi 200k tunatimiza
HahahahaAmkeniii
Saa 9 usiku. Kesho utachoka jaribu kulala shemeji. Kuna nyimbo za kulaza watoto mwambie Baby S akuimbie utalala sasa hivi!Duuu usingizi umekataaa
HaahaaassNitakaa kwenye nyumba ya mke gani na kicha hizo? Ataniruhusu kuchezea kweli!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Duuu dogo mchafu wewe
Nakuona kama kawaida yako unaibia tu.
Haaaaaa. Hata wewe???Saa 9 usiku. Kesho utachoka jaribu kulala shemeji. Kuna nyimbo za kulaza watoto mwambie Baby S akuimbie utalala sasa hivi!
Mida ya kazi hii anatumikia wale ng'ombeSaa 9 usiku. Kesho utachoka jaribu kulala shemeji. Kuna nyimbo za kulaza watoto mwambie Baby S akuimbie utalala sasa hivi!
Jana nilikuwa nimejiteka mkuu. Kwema lakini? I missed you all!