Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Pole babe![emoji17] [emoji17] [emoji17]
Pole babe![emoji17] [emoji17] [emoji17]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sema KK. Jana nilikuwa nimejiteka!Nilikuwa tunataka tukuulize SHIMBA YA BUYENZE umempeleka wapi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kuna kufungiwa ndani aisee. Haya mambo ni magumu aisee!Hajaonekana humu hebu muachie mwenzio jamani jakitoo
Nani huyu mkuu?
Jana nilikuwa nimejiteka mkuu. Kwema lakini? I missed you all!SHIMBA YA BUYENZE kuna mrembo huku jakitoo anakutafuta kwa udi na uvumba Mkuu.
Kama wewe owner hujaniona wengine wataniona wapi? Pole kwa kupotea bila kuaga babe. Sitarudia tena. Mijanaume midowezi ya humu haikuanza fyoko fyoko?Namtafuta shimba ya buyenze kwa yoyote alomuona tafadhali[emoji17]
Asante shemeji. Jana nilikuwa na kasheshe za hapa na pale. Hali ilikuwaje hapa? Mijibaba midowezi ilikuwa calm?SHIMBA YA BUYENZE uko wapi shemeji
Andaa wale ng'ombe wa ziada shemeji...Yupo koromije anachungaga ming'ombee[emoji243] [emoji233] [emoji238] [emoji243] [emoji243] [emoji233] [emoji238] [emoji250] [emoji250]
Uzi huu umevunja rekodi. Hata miezi miwili bado...
Tunapishana. Jana tu kulikuwa na mtu analalamika eti mi nakesha humu 24/7. Kumbe ni kupishana - huyu aingia huyu atoka!Hahahaha SHIMBA YA BUYENZE sijaonana nae siku ya tatu leo
Uwe na njaa halafu upate McDonald's double quarter pounder na coke ya baridi...Halafu ukimaliza kuila unaanza kujilaumu!I love junk food..its delicious. Almost all delicious foods are bad for health[emoji15][emoji15][emoji15]i eat anyway.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sema KK. Jana nilikuwa nimejiteka!
HahahahaUwe na njaa halafu upate McDonald's double quarter pound na coke ya baridi...Halafu ukimaliza kuila unaanza kujilaumu!
Kuna mtu ameniuzia mashamba ya mpunga huko Kibiti. Tutaonana soon!
HaposaWamarekani hao na mambo yao ya Freemasons na masosayati mengine ya siri na yaliyojaa ushetani shetani ndanimwe!
Gr8 kwa kweliMambo poa kabisa sis. Kwema wewe?
Mkuu, mimi siyo mpigaji kama libunge letu liJoka Makengeza. Siwezi kuchukua mahari kutoka kwa mashemeji wawili. Huo utakuwa utapeli/ufisadi. Mimi nilipokea mahari kutoka kwa Andjul pekee. Hao ng'ombe wako mwenyewe unajua ulikowapeleka. Si ajabu umewauza hela umeficha sasa unamsingizia Shimba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]SHIMBA keshapokea mahari yangu, lakini akashawishi na rushwa ya yule mzee
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani lile jitu silipendiMkuu, mimi siyo mpigaji kama libunge letu liJoka Makengeza. Siwezi kuchukua mahari kutoka kwa mashemeji wawili. Huo utakuwa utapeli/ufisadi. Mimi nilipokea mahari kutoka kwa Andjul pekee. Hao ng'ombe wako mwenyewe unajua ulikowapeleka. Si ajabu umewauza hela umeficha sasa unamsingizia Shimba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]