mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Tumepokea samahani yako nilikuwa nasubiri tamko kama hiliNdugu zangu naomba radhi kwa picha ambayo nimeipost kimakosa hapa, najua kuwa hapa ni mahali pa burudani na si pa kumkwaza yeyote. SAMAHANI nyote mlikwazika kutokana na picha hiyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ndio uungwana