Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Roma angalau alipatikana. Kuna yule kijana mwingine mpaka leo kimyaaa [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

Ni siku mpya imeanza. Ni nafasi nyingine ya kuanza upya kwa vile tungali tunapumua. Mungu na Atuongoze!
Aisee kweli yaani mtu anapotea kama hitler alivyopotea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…