Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tafiti za sayansi ni za kweli
Siyo zote. Nyingi tu zinapikwa. Mf. Pharmaceutical company wanatengeneza kidonge. Wanajua kina madhara makubwa kwa watumiaji (wa muda mrefu). Wanaajiri wanasayansi na madaktari wao wa kukifanyia majaribio. Tafiti zikitoka data zimepikwa balaa. Kidonge kinatangazwa kuwa ni silaha mpya dhidi ya ugonjwja husika. Pharmaceutical company wanapiga hela ndefu. Baada ya miaka 10 watumiaji wanaanza kupata matatizo. Pharma wanashtakiwa na kupigwa faini let's say ya $ bilioni moja wakati kidonge hicho kimeshawaingizia $ bilioni 10+. Wanalipa. Kidonge kinakuwa pulled out of the market...na maisha yanaendelea!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…