Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Yes. Tunaye Goddess wetu humu. Goddess of 10,000 names.Eee kuna goddess humu!lol
Yes. Tunaye Goddess wetu humu. Goddess of 10,000 names.Eee kuna goddess humu!lol
Nilifikiri unahitaji malimao nikuelekeze kwa Gwajima japo sina uhakika kama bado anayo. Kwema mkuu?Lmao
Mapenzi ni mabaya (too many strings attached). Upendo ndiyo siyo mbaya!Mapenz sio mabaya
Ila watu ndo wabaya
Jeshi la Wema likikuona umekwisha mkuu. Mange njoo huku kuna mtu anamchokoza Wema wako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Machoni unaonekana una WEMA kumbe rohoni ni SEPETU.
Tena inasemekana ukioa, wazuri ndiyo wanatoka mafichoni in full force....Tulia tuishi
wazuri haweshi
UfutaSesame seeds
Hizi bahatisha uzile ambazo hazijaiva sawasawa halafu usikilizie muziki wake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Njugumawe
Coleeeeee! Broooooooo! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Habari ya mchana mchepuko wangu[emoji6][emoji6]
Mpaka wakitoe kitufe cha likes mkuu!