Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

20225567_149285138982250_6969920155409186816_n.jpg
 
Wavuta bangi watatu walivunja duka la dhahabu ili waibe,

Mmoja alichukua Dhahabu mwingine akachukua pesa wakatoroka,
Yule wa mwisho akabaki ndani!

Mwenye duka akaja na polisi,kuingia ndani wakamkuta jamaa amekaa mguu juu ya mguu!!

Akaulizwa: "mbona wewe hukutoroka kama wenzako?"

Akajibu:"Mmoja amechukua dhahabu mwingine akachukua pesa nami nimechukua duka.‍♂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Asante. Siku yako inaendeleaje? Ni kweli jana nilipotea na moto ulioniwakia kwa Jakitoo ni hatari sana. Please shem kanisaidie kuuzima. Bado unafukuta [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siku yangu ni njema kabisa...[emoji23][emoji23]huo moto kazime mwenyewe shemeji ikibidi hata kwa parables
 
Back
Top Bottom