Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Politician TapeliMwanasiasa naona unafanya Siasa
Politician TapeliMwanasiasa naona unafanya Siasa
Alikuwa mpole ajabuShiwaladu nakuona[emoji23][emoji23][emoji23]au unataka niseme nilikokukuta jana??
Post chochote upate likes
[emoji125] [emoji125] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85][emoji23][emoji23][emoji23]sema jana nilikunawa acha kabisa,hadi nikawa nacheka mwenyewe
AMUN RAGood evening my dear
Rutashubanyuma leo sijamuona hata kwenye uzi wetu pendwa kule wa Man U.Mzee wa namba Rutashubanyuma yuko wapi leo?
[emoji23][emoji23][emoji23]nilikuona tu...mana kila kona unanifata nyuma...unajua kama andjul alikuona kule?[emoji23][emoji23][emoji23]Ukanifanya hadi leo nije humu kama lipumba kwa kunyata. [emoji23] [emoji23]
Hakuna mwenye shida humu,this is not a charity organization, Toa likes pata like,humu wengine tnaenjoy tu hatuna dhiki kiasi hicho.
Hahahahaha dah ho chi Minhakili za kuambia changanya na zako
![]()
Kwani kuna mtu anayeninunulia bandoo?Kwema Mondray. Unakujaga na huku? Huogopi ukionwa na bosi wenu?
Utandawazi unapowaacha waziDada zetu na maisha ya kuigiza Instagram!![]()
mzee wa liver yupo karibu nataka nikung'ate sikio au nyama ya ulimi. [emoji23] [emoji23]Nipo my dear
Hahahahaha aisee Uzi huu balaaMTU AKIWA ALISHAMALIZA CHUO MIAKA MINGI NA KUKAA BILA AJIRA SIKU AKIPATA AJIRA ANANYENYEKEA HATA KAMA ANAUMIA MFANO JAMAA ALIKANYAGWA NA BOSS WAKE AKAMWAMBIA BOSS SAMAHANI MGUU WANGU UKO CHINI YA MGUU WAKO..!!
Hata mimi pia niliweka kama utani tu.hahahaha mkuu na wewe umechulia serious? niliweka kama utani ndugu yangu.