Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Duh!
1e6e7896d278b5e9722158e03ad8011d.jpg
 
Napenda kuchukua nafasi hii kuwaaga wana Uzi huu.

Toka tumeanza mwanzo kabisa hadi wakati huu na bado tunaendelea na uzi huu napenda kuwashukuru kwa company yote.

Waliofurahi na kuongeza urafiki hapa Jf na sehemu zingine pia.

Kuendelea kujifunza japo kunahitaji utulivu katika kutambua hilo.


Tumeburudika kuelimishana na mambo mengine pia.



Pia nawaomba radhi kwa wote niliowakwaza popote pale naomba tusameheane maana kwangu sijawahi kuudhiwa na mtu katika hii jamii.




Upendo, amani na umoja tuendeleze katika uzi huu.





Leo naona itakuwa ndio na waanga wote huku nikiendelea kusambaza likes z mwisho mwisho.




Nawatakia amani upendo na umoja kwa wote.
Loh! Kichwa unaenda wapi? Usiondoke bhana tutakumis sana.
 
Back
Top Bottom