goldie ink
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 5,634
- 9,156
United kingdom, england
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] Muache aende,ametuharibia sana humu...
[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] zepine my love[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] Muache aende,ametuharibia sana humu...
Napenda kuchukua nafasi hii kuwaaga wana Uzi huu.
Toka tumeanza mwanzo kabisa hadi wakati huu na bado tunaendelea na uzi huu napenda kuwashukuru kwa company yote.
Waliofurahi na kuongeza urafiki hapa Jf na sehemu zingine pia.
Kuendelea kujifunza japo kunahitaji utulivu katika kutambua hilo.
Tumeburudika kuelimishana na mambo mengine pia.
Pia nawaomba radhi kwa wote niliowakwaza popote pale naomba tusameheane maana kwangu sijawahi kuudhiwa na mtu katika hii jamii.
Upendo, amani na umoja tuendeleze katika uzi huu.
Leo naona itakuwa ndio na waanga wote huku nikiendelea kusambaza likes z mwisho mwisho.
Nawatakia amani upendo na umoja kwa wote.
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124][emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] Muache aende,ametuharibia sana humu...
Unaenda wapi?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ndio maana umemficha ho chi minh naenda police kabla sijaondoka.
AMUN RAMola akutangulie my dear
Sad
Kiranga alikuwa nuksiTena ilikuwa ukikaa ovyo unaweza kuanza kumuamini kabisa maana bible alikuwa vizuri anatoa maandiko hafu anasema yanakinzana