Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwa hiyo Mkuu Cole Williams jamaa anatania tu kuhusu kusepa kwake? Kama anatania basi poa tu maana akiondoka pengo lake hapa ni kubwa sana halitazibika. He is a very fun guy and likeable with everyone on this thread and forum as a whole.

Mkuu BAK katika watu fun humu huyu jamaa no 1. Ni kama mm ata umtukane akasiriki yupo kwenye uzinguaji. Ni makuzi sana huyu mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…