Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mimi sijakifikia cheo cha uGT mkuu. Walikuwepo akina Kiranga, Mzee Mwanakijiji (MM), wewe, Nyani, Paskali, Bold na wengineo. Cha kusikitisha ni kwamba wengi wao siku hizi hawaonekani tena. Binafsi nilijiunga JF ili kumfuatilia MM na Kiranga. MM naamini gia ya angani ilimkatisha tamaa lakini Kiranga hata sijui alipotelea wapi. Huyu jamaa alikuwa na welewa wa ajabu wa mambo mengi sana (japo alikuwa ananiudhi akianza kupinga uwepo wa Mungu). Mpaka leo pengo lake halijawahi kuzibwa hapa JF!
Mimi mwenyewe respect kwako mkuu wewe ni Genius one
 
Nitarudi tu mkuu
ebad8a6acae29e4e8af113b0588a7a75.jpg

Nitakukumbuka kwa picha hii ulivyo jitahidi kujificha ili carba na Cole wapite[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
Back
Top Bottom