Aaaa wapi. Kichwa haendi popote. It is just Kichwa being Kichwa. Carba akithibitisha habari hizi ndo nitaamini![emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
BAK vipi mbona unatuwekea warembo tu humu
Huyo andjul naanza kuwa na wasi wasi naeUnaenda wapi?
Well saidMchina hajui kiingereza lakini anafanya biashara dunia nzima.
hahaha
Nitarudi tu mkuuWhaaaaaaaat!? Funguka Mkuu unaenda utarudi au ndiyo unakitoa kimoja? umepata uteuzi Ikulu?