Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Heshima yako GT
Mimi sijakifikia cheo cha uGT mkuu. Walikuwepo akina Kiranga, Mzee Mwanakijiji (MM), wewe, Nyani, Paskali, Bold na wengineo. Cha kusikitisha ni kwamba wengi wao siku hizi hawaonekani tena. Binafsi nilijiunga JF ili kumfuatilia MM na Kiranga. MM naamini gia ya angani ilimkatisha tamaa lakini Kiranga hata sijui alipotelea wapi. Huyu jamaa alikuwa na welewa wa ajabu wa mambo mengi sana (japo alikuwa ananiudhi akianza kupinga uwepo wa Mungu). Mpaka leo pengo lake halijawahi kuzibwa hapa JF!
 
Back
Top Bottom