Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
God
Will
Make a way
Where it seems...
Will
Make a way
Where it seems...
Unaenda wapi kichwa kichafu?Napenda kuchukua nafasi hii kuwaaga wana Uzi huu.
Toka tumeanza mwanzo kabisa hadi wakati huu na bado tunaendelea na uzi huu napenda kuwashukuru kwa company yote.
Waliofurahi na kuongeza urafiki hapa Jf na sehemu zingine pia.
Kuendelea kujifunza japo kunahitaji utulivu katika kutambua hilo.
Tumeburudika kuelimishana na mambo mengine pia.
Pia nawaomba radhi kwa wote niliowakwaza popote pale naomba tusameheane maana kwangu sijawahi kuudhiwa na mtu katika hii jamii.
Upendo, amani na umoja tuendeleze katika uzi huu.
Leo naona itakuwa ndio na waanga wote huku nikiendelea kusambaza likes z mwisho mwisho.
Nawatakia amani upendo na umoja kwa wote.
Pongezi kwake katika kutoa likes huyu jamaa yupo vizuri. [emoji122] [emoji122] [emoji122]
babe naomba uje nyumbani... IMYJakitoo babe upo? Carba amekataa kunisaidia...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]![]()
Ni mjasiriamali wa South Africa. Hizi nguo anashona mwenyewe na ku-model mwenyewe. Simple and decent. Alianza kimchezo mchezo sasa anasafirisha mpaka USA.Anafanana sana na binti mmoja dingi wake aliwahi kuwa Spika wa Bunge jina kapuni.
Very true
GeJo kipenzi[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
AlwaysTruth
Must be
Told