Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Taratibu tunafika.
Mkuu karibu mbona unapotea potea
Taratibu tunafika.
AiseeNi mjasiriamali wa South Africa. Hizi nguo anashona mwenyewe na ku-model mwenyewe. Simple and decent. Alianza kimchezo mchezo sasa anasafirisha mpaka USA.![]()
![]()
Receive my like, bro!You suck.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]You suck.
Mkuu nakuona kiongozi.
Nilikuja nikakuta haupo. Angalia sebuleni kuna zawadi yako!babe naomba uje nyumbani... IMY
Dunia hii ni vurugu bageshi. Hapa mzazi inabidi uwe na busara sana. Imagine una kavulana kamoja tu halafu ndo unabaini kuwa kumbe washenzi wanakapelekea moto. Sijui hata utafanyeje!
Watu wengi wanampenda kwa sababu yeye hajifunui funui..Aisee
safi sana