Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Anafanyeje hizi codes?You suck.
Anafanyeje hizi codes?You suck.
Ndioo[emoji23][emoji23][emoji23]sema kama unataka ushahidi nilete[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ulimuona??
Mjomba mjomba weka post niweke likes za mwisho mwisho.Kichwa kichafu
Ndugu Yangu...
Achana nao,utakupotezea muda wa ku likeUsingiziii
Ulibadili avatar. Hii imenipoteza!
Kiranga daaah miMimi sijakifikia cheo cha uGT mkuu. Walikuwepo akina Kiranga, Mzee Mwanakijiji (MM), wewe, Nyani, Paskali, Bold na wengineo. Cha kusikitisha ni kwamba wengi wao siku hizi hawaonekani tena. Binafsi nilijiunga JF ili kumfuatilia MM na Kiranga. MM naamini gia ya angani ilimkatisha tamaa lakini Kiranga hata sijui alipotelea wapi. Huyu jamaa alikuwa na welewa wa ajabu wa mambo mengi sana (japo alikuwa ananiudhi akianza kupinga uwepo wa Mungu). Mpaka leo pengo lake halijawahi kuzibwa hapa JF!
[emoji56] [emoji56]Hivi Orange "chungwa" liliitwa Orange kwasababu lina rangi ya Orange au rangi ya Orange ndio iliitwa Orange kwasababu ina rangi ya Chungwa "Orange?"
Daaah ndugu yangu sina usemi maana ndio hivyo tena.[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] nina mengi ya kumweleza mjomba, pia na kuondoka kwako nitamueleza
Ni kupambana tu bila kukata tamaaKatika maisha
Alikuwa ananifurahisha Kuna kipindi mki post story za hip Hop za bongo zile ngumu na yy yupoMimi sijakifikia cheo cha uGT mkuu. Walikuwepo akina Kiranga, Mzee Mwanakijiji (MM), wewe, Nyani, Paskali, Bold na wengineo. Cha kusikitisha ni kwamba wengi wao siku hizi hawaonekani tena. Binafsi nilijiunga JF ili kumfuatilia MM na Kiranga. MM naamini gia ya angani ilimkatisha tamaa lakini Kiranga hata sijui alipotelea wapi. Huyu jamaa alikuwa na welewa wa ajabu wa mambo mengi sana (japo alikuwa ananiudhi akianza kupinga uwepo wa Mungu). Mpaka leo pengo lake halijawahi kuzibwa hapa JF!